BBC Swahili ›› Utumikishwaji wa watoto Afrika
Mtoo mmoja kati ya watoto wanne katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ameajiriwa. Nchini Ethiopia, karibu nusu ya watoto wote wapo katika ajira ya watoto, ikifuatiwa kwa karibu na Burkina Faso (42%), Chad (39%), Cameroon (39%) na Togo (39%). Je nini …